Pambana man ba Congo ni batamu sanaa, banajua mapenzi... Banajua kubembeleza... Batakuimbia na kukuchezea pia heheheheee.
Kuna mtu alitafsiri kuwa ni wana Congo tuungane tuijenge Congo yetu. Kama sijakosea hiyo ndo maana ya huo wimbo.
Muhimu kukata mauno tuu....
Kasie natombana mabokoo..... Kasie Matata.
Ila ukikosea kutamka unaweza kutukana heeheheee.