BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,196
- 14,371
Umetisha sana mkuu-Usiku wa manane jua Kali likawaka hali ambayo sikuizoea hivyo ilinipa mashaka sikutaka tugombane yeye ndo alitaka akawa ananililia eti anataka talaka lile ua letu la upendo likanyauka nilitaka kuwa chizi mama ningeweuka nikasema tulia moyo aya dunia yasikutushe wala by Ben pol - Wapo.
-Machozi yangu yote inamalizika mie ntalala nani we unaenda mie mpaka ni mawazo mie mpaka nikuwaza waza we unaenda kama ile njia ya kuenda kama ni maisha ya kufuata we Dada by Papa Wemba - Rail on
-Kosa gani ndo nawaza everytime everynight kipi kilifanya mpaka ugo sekela sekela by Mo music
-Nilikupenda sana mfano wa maua lakini hupendeki wewe bora sasa uende nimechoka hakika sijiwezi kuishi tena Mimi na wewe ingawa nakupenda lakini sitoweza. By safari sound - Nilikupenda
Niliwahi kuongea naye kwenye simu kidogo sasa hataki akiniona ananipa kisogo mweleze nampenda moyoni Nina kidonda yeye dawa aje niponya milele niwe mzima by Amino - Robo saa....sjku zilivyoenda nilidanganyaga naenda Mwanza,kurudi kitu chakushangaza,nakuta kidume kimejilaza gheto... nendaa.. aaah nenda... nenda hatakama zamani nilipenda....20 Percent.
Yanaanza kama safari twende Fulani ukaone kumbe yana nguvu ni hatari ukishazama ndo hauponi mungu aliumba dunia na maajabu yake ya mwenzako sikia omba yasikupate By Diamond - kizai zai.Eti nikuombee mema
Na baraka uzidi fanikiwa
Siwezi kamwe wala
Ni sawa na kuiforce sinema
Kuitazama na haijanivutia
Lazima tu ntalala
Na kwa barabara ukipita
Nenda kulia ukiniona kushoto
Sitaki hata tuonane
Usije wala ukaniita
Donda vilia utanchochea tu moto
Nisije nkutukane....
...Ntakudanganya kwa tabasamu
Ntakudangany kwa kucheka
Ntakudanganya hata kwa salamu
Ila moyoni nakuchukia
Nitakudanganya kukufollow
Nitakudanganya kucomment
Nitakudangaya kulike picha
Ila siwezi kukuzimia...
NIACHE-Diamond Platnumz
Kama kunibwaga angeshanibwaga tangu kule nyumaa nae yule mschana wangu wazamani aliponifumaa na yeye eeh eehh
Nilishakosa ............
Chozi lako mola kasikia nami nimekiri kwamba nitatulia nitakupenda milele daima daima daiiim aaahh
By BARNABA BOY
ngoma hii iwaendee
Depal Miss Natafuta Mama Mdogo
Kasie Sky Eclat Paula Paul
Nimewaita mje cucomment huu uzi
Drake - Say somethingOn my way Drake
Overtime Chris Brown
Heat Chris Brown
Nonstop Drake
Best I ever had Drake
Passionfruit Drake
Westside Drake
Ego Wurld x Sarz
Downlow Wizkidayo
Supa RUBEE2
miss me Drake
She will Lil Wayne
Think about me 50 cent
All night long Trey songz
B.I.D tory lanez
text message chris brown
no love august alsina
benediction august alsina
joro wizkidayo
Travis scott like i likeDrake - Say something
Chris Brown - Back to Sleep
Chris Brown Ft Aaliyah - They don't know about us.
Alicia Keys - No one
Daville - Always on my mind
Akon - Lonely
Adele - Helo
Adele - Someone like you
Beyonce - Irreplaceable
Rihana - Te Amo
Shania Twain - Always and Forever
Keri Hilson - Knock you down
Kanyewest - Heartless
J Cole - Power trip
Maroon 5 - Payphone
Wiz Khalifa - Promises
Niliapa ukiondoka mpenzi nitaondoka nawe sikuahidi kukufuta machozi Bali nitalia nawe ina maana hata ukiondoka mpenzi kunitazama hutaki awena basi kama Nina kosa kwako nililofanya nieleze awena chozi langu la thamani unaliacha lianguke ina maana tuliyopanga zamani si chochote. By Kassimu mganga - Awena
Ilikuwa usiku wa Jananakshi nakshi mrembo uliwatosa matoz na vigogo
uuuuu wimbo ulifanya nijue vingi ktk mapenzi
big up alikiba kwa kazi nzuri
I'm catch grenade for you. Bruno marsBruno mars - it will rain