Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,030
- 134,276
kweli mkuu ni haki yao kikatiba wapo huru kufanya hivyoni haki yao kabisa
polisi watambue,maana hawachelewi kuja kupiga mabomukweli mkuu ni haki yao kikatiba wapo huru kufanya hivyo
Imeripotiwa maeneo kadhb katika sherehe mbalimbali kupigwa sana "nyimbo za Lowasa".Katika mikesha ya harusi,bathdei,nk nyimbo za kumfagilia mgombea urais wa Chadema zimeripotiwa kutamba.Japo wanaCCM kadhaa wamekuwa wakileta upinzani bila mafanikio kutokana na wingi wa wahudhuriaji wanaofutiwa na nyimbo hizo.Nyimbo zinazoripotiwa kukonga na kubamba ni ule wa mdananda "Lowasa huyooo....anameremeta" na ule unaotumika kama background kwenye tangazo la Lowasa akiomba kura...