Nyimbo za Abbydad....naomba list

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,662
Huwa nikisikiliza nyimbo za wasanii mbalimbali ambazo
production ni ya Abbydad naona ni nyimbo kali sana

Binafsi nyimbo mbili hizi...Aje-Ali Kiba na Rudi- Richie Mavoko...kwangu
hazichuji kabisa

Kuna nyimbo zingine kali za huyu jamaa?
mnaweza share humu? hata ambazo hazija hit....
 
Rudi ya rich mavoko Abby Dady ameshirikiana na S2kizz, beat ya s2kizz ila yy kafanya mixing tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…