Pumba tupu sijakiona cha maana.[/Qtangu nijiunge jf huyu dada sijawahi kusikia akitoa point ya maana huwa natamani ni vunje kioo cha pc ni mnyofoe mzimamzima ni mchape viboko
alikosea kulazimisha mabadiliko kumbe mabadiliko yanakuja yenyewe viongozi kazi yao ni kuwezesha hayo mabadiliko kwa kuweka mifumo na miundombinu kulingana na mazingira na watu katika eneo husika
Hakuna chuki mbaya kama chuki inayotokana na sababu za kidini. Ni chuki ambayo inakufanya iwe kipofu kwa jambo lolote zuri atakalofanya yule unayemchukia, hata kama atakuwa akilifanya kwa faida yako. Ni chuki ambayo bila wewe mweyewe kujua, inakutoa hata kwenye misingi ya haki, amani na wema ya dini yako mwenyewe. Ni chuki ambayo itakugeuza na pengine hata kukufanya muuaji au usiyekubali kusamehe na kusahau, jambo lililo kinyume cha maadili ya dini zote za kistaarabu. Ni chuki inayokutia kwenye kundi la wapumbavu wa dunia hii.