Tarime ilikuwa na kila dalili za kugawana kura mana wagombe wanne walikuwa na nguvu kwenye kata zao..CUF,NCCR ,CHADEMA na CCM so na maeneo yaliyokuwa na watu wengi CCM ndo walipopiga bao la kisigino hapo.Ila Nyamongo ni ngome ya Chadema ndo mana kata nyingi wamechukua udiwani.