Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
Kwani Mwigulu naye alitumwa na wapiga kura wake kumvalisha mbwa bendera?Huyu Nyangwine ndicho alichotumwa na wapiga kura wake? Mbona kuna matatizo mengi ya msingi ambayo angeweza kuwasemea watu wa Tarime kuliko hili?