1.usifanye kosa,mpe usiku wakati anapotaka yeye.......kwa vile kwanza atafaidi na kutosheka haraka.
2.kuna wengine usingizi hauji hadi apate dozi,utamfanya mwenzio asipate usingizi sawasawa.
3.mara nyingi mechi za asubuhi sio nzuri sana pamoja na kuwa kuna ka ubaridi,labda jioni muwe mlilewa sana.mechi za asubuhi huwaacha na uchovu fulani hapo ofisini kazi itaendaje?????
4.asubuhi na wewe unaweza kuomba mechi,itafika mahala wote mtazoea mechi 2 kwa kila siku asubuhi na jioni.....ubavu unao?
5.sisi wanaume wakati wote tupo fit...lakini wenzetu akina mama siyo saa zote wanataka.hivyo ikitokea muda huo anataka usifanye ajizi, acha kila kitu ulichokuwa unafanya wajibika........ni mawazo yangu. hapo shem atakupenda sana na amini usiamini hana haja ya mwanamme mwingine.
ha ha ha ha!
long live infidelity!ile maanake hata kwenye gari
Askofu chunga kondoo wako vema. Mchungaji niko kwenye semina ya ukusanyaji matoleo, sadaka, fungu la kumi na zaka.Utawajua kwa magamba yao....
rrrrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaah!Utawajua kwa magamba yao....
Askofu chunga kondoo wako vema. Mchungaji niko kwenye semina ya ukusanyaji matoleo, sadaka, fungu la kumi na zaka.
rrrrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaah!
rrrrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaah!
twnde zetukwenye sredi ya germany vs serbia!UNAJUA HAPA OFISI NISHALIMWA BARUA YA WARNING
Wana-JF najua wikiendi ndio inakaribia ni imani yangu hili nalo lina nafasi yake katika mchakato mzima wa kuitafuna hiyo wikiendi. Ni wazi kila mtu ana utashi na kwa wakati wake anajisikia kupata raha ya mapenzi, lakini kwangu imekuwa tofauti. Mamsampu amenishauri kuwa yeye hujisikia raha sana kama game tukilipiga muda ule wa kawaida wa kwenda kulala. Yaani baada ya kupata dinner, tumeangalia runinga na mengineyo kuanzia saa 4 mpaka 5 usiku kitu ambacho mi kwa mtazamo wangu naona sio ukizingatia watu mnakuwa mmechoka baada ya pilika za kutwa nzima. Nimemshauri game tulichape ile alfajiri kabla hatujaamka kujiandaa kwenda vibaruani. Ukizingatia mnakuwa mmepumzika na ile baridi ya alfajirinakuwa mswano!. Najua kuna watakaouliza kwani siku zote tulikuwa tunafanya wakati gani hilo niachieni mwenyewe!!!:eek2::eek2::eek2::lol:
Wakuu,
Mie siwadanganyi...napenda game mida ile naingia home toka kazini...yaani saa 12 jioni. Halafu tena kabla ya kulala kwenye saa 5 usiku. Na alfajiri kabla hatujaacha kitanda...ni mara tatu kwa wiki...najisikiaga fresh sana hata mamsap anasapoti sana ratiba hii. Cha msingi ni muda ambao wote mtaupenda na ku-enjoy!