DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
Naona kama simba amerahisiahiwa sana kazi ya kwenda final. Ashindwe mwenyewe tuu.Semi-final: Simba vs Stellenbosch
Zamalek wameikimbia Simba.
Nilishawahi kusema Stellenbosch ni timu ngumu sana, maandalizi yaanze. Pia Fadlu aangaliwe vizuri asije akaleta mambo ya familia.
Simba kuanza tena ugenini na kumalizia nyumbani. Hii advantage tusiichezee tena.
Simba tulikuwa tunamlima sana kwa zamaleck, walau hawaa wasouth aiseeWao wana Stella sisi tuna Debora
Walete timu gari limewaka
Hakuna urahisi hapo, wana timu nzuri. Zamalek kashindwa kupata hata goli moja kwa dakika 180.Naona kama simba amerahisiahiwa sana kazi ya kwenda final. Ashindwe mwenyewe tuu.
Sema jamaa wanajua kulinda huko nyuma dah
Naona kuna wafau wanasema simba inaanzia home ? Imekaaje hiyoHakuna urahisi hapo, wana timu nzuri. Zamalek kashindwa kupata hata goli moja kwa dakika 180.
Wakati mwingine ni afadhali ucheze na giant unakuwa makini zaidi. Nilikuwa nawatamani Zamalek ila waarabu wana usenge mwingi, badala ya kucheza mpira wanalalalala tu maae zao.
Tarehe ngapi mechi?Semi-final: Simba vs Stellenbosch
Zamalek wameikimbia Simba.
Nilishawahi kusema Stellenbosch ni timu ngumu sana, maandalizi yaanze. Pia Fadlu aangaliwe vizuri asije akaleta mambo ya familia.
Simba kuanza tena ugenini na kumalizia nyumbani. Hii advantage tusiichezee tena.
Ngoja nichekiNaona kuna wafau wanasema simba inaanzia home ? Imekaaje hiyo
Mmh game gani hio umeangalia.. hawq jamaa wametuliaNimecheki game ya Stellenbosch Vs zamaleki ni wakawaida sana naiona Simba ikicheza fainali
Simba inaanza homeNaona kuna wafau wanasema simba inaanzia home ? Imekaaje hiyo
Technically Stellenbosch ni weupeMmh game gani hio umeangalia.. hawq jamaa wametulia
Kweli kabisa. Kwa trend hii, Simba tayari ipo fainali, labda tushindwe wenyewe.Nimecheki game ya Stellenbosch Vs zamaleki ni wakawaida sana naiona Simba ikicheza fainali
Labda kibu aanze usenge wake kama alivotaka kuanza leo mpazu akamwona bwege akaamua kuKweli kabisa. Kwa trend hii, Simba tayari ipo fainali, labda tushindwe wenyewe.
20/04 - TanzaniaTarehe ngapi mechi?