Habari JF,
Unafahamu kwamba ukienda madukani kwetu kununua kifurushi unapata simu aina ya Smart 7 au SmartKicka2 orijino BURE kutoka Vodacom na unapata nafasi ya kushinda Tablet na 80GB za intaneti? Hakikisha unafika dukani kununua simu yako na unaacha namba ya simu na IMEI namba ili kuingia kwenye droo itakayochezeshwa mwisho wa mwezi huu. Mfano ukinunua kifurushi cha Dk 1,200, SMS 10,000 na GB 2 za kutumia mwezi mmoja unapata SmartKicka2 BURE kabisa.
View attachment 417248