Nunua plot/kiwanja Dar es Salaam

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
"Maliza mwaka vizuri kwa kumiliki plot/kiwanja Dar es salaam."

Mahali zilipo plots/kiwanja/shamba

Plots/viwanja: Msongola Ilala na Kimbiji,Chamazi Temeke

Mashamba: Mkuranga mkoa wa pwani(Mashamba yako karibu sana na mpaka wa DSM na Mkuranga

Bei ni maelewano

Conatact: 0717 28 83 06 (Ogiro - dalali)
 
Bei maelewano ndio ipi

Weka bei elekezi wewe!!
kufanya biashara na waswahili ni stress tupu!! mshenzi huyo, hata usihangaike kumupigia. eti 'bei maelewano'
 
kufanya biashara na waswahili ni stress tupu!! mshenzi huyo, hata usihangaike kumupigia. eti 'bei maelewano'
..tuna plots nyingi na zote zinatofautioana but tunamhitaji mwenye nia so come one step foward...onyesha nia.Bei ni maelewano maana ardhi ni ya watz kwa faida na matumizi yao.
 
..tuna plots nyingi na zote zinatofautioana but tunamhitaji mwenye nia so come one step foward...onyesha nia.Bei ni maelewano maana ardhi ni ya watz kwa faida na matumizi yao.
kama zinatofautiana weka range ya bei.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…