Nunua magari kwa Kampuni ya BE FORWARD.

NJOGHOMILE

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2017
Posts
694
Reaction score
1,943
BE FORWARD Japanese car Expoter ni Kampuni inayojihusisha na uuzaji wa magari madogo hapa nchini, wasiliana nao kwa namba zilizoambatanishwa hapa kwenye picha uweze kujipatia gari nzuri unayoipenda












 
tangazo limekosa ladha kama mbili hivi moja bei za bidhaa zenu pili ni location yenu Kwa hapa tz
 
Never.. Be Forward sio kabisa. Wanauza magari yamechokaa aaaa sanaaaa ila kwa bei mmeweka ya kawaida, sie tunayejua magari hata sidhubutu kuagiza kupigia Be Forward.. Never
 
Never.. Be Forward sio kabisa. Wanauza magari yamechokaa aaaa sanaaaa ila kwa bei mmeweka ya kawaida, sie tunayejua magari hata sidhubutu kuagiza kupigia Be Forward.. Never
Umewahi nunua likawa limechoka?
 
Reactions: y-n
Be forward mjirekebishe mko ovyo sana. Siku hizi natumia AUTOCOM
 
Kuna gali niliona inauzwa Dola 100 Japan mpaka kuipata Mimi ni kiasi gani maana hiyo naweza kuimudu
Nami nikajitoa kimasoso nikamiliki gari ili niwenachangia mada za magari maana nazipitaga tu
 
Jamani naomba kuuliza kwali: hivi upatikanaji wa spare za Magari ya Honda hapa Tanzania upo namna gani? Nimeona kwa website ya BF kuna Honda za bei nzuri tu na nikiangalia naona kuna gari imenipendeza. Je, ni rahisi kupata spare zake hapa Bongo kirahisi au la?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…