mkandumbwe
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 424
- 371
1. Stationary nimekwisha ifunga vitu viko nyimbaniMkuu naomba kujua yafuatayo:
1. Hiyo stationary iko spefically sehemu gani ya Dar?
2. Hizo bei ni fixed au zinaweza kupungua kwa mazungumzo?
3. Je kama mtu unahitaji baadhi ya vitu ulivyoorodhesha na sio vyote inawezekana kuuziwa?
Asante
Nashukuru kwa ofa kaka 50k hainilipi kaka.Kuna 50000 hapa nahitaji line ya M-PESA
1. Stationary nimekwisha ifunga vitu viko nyimbani
2. Bei maongezi yapo
3. Ndiobunaweza kununua baadhi ya vitu coz kuna baadhi tiyari watu wamenunua humu humu.
Siuzi biashara..... Nauza vifaa...... Kama unahisi itakulipa unaweza kununua. Lakini nimejaribu kutoa uzoefu kidogo coz biashara nimeifanya. Ila endelea kujitahidi unaweza ukatoka ktk kipaji chako cha utabiri. Maana umetabir kama biaahara ilikua ngumu.Mkuu sio kwamba biashara imekua ngumu ndio unatafuta mtaji ufanye issues zingine??
Manake kama wewe ilikua inakulipa sana ungeweza kuweka mtu akusaidie kuendeleza. Pili hata kama ni kweli ilikua ikikulipa pengine ni kwa sababu ya location uliokuwepo, sasa umeshrudisha chumba then mtu akatafute kwengine huoni kama inaeza isimlipe??
Unapingana na title yako mwenyewe ya NUNUA BIASHARA HII SASA UJIKOMBOE , pengine nawe ndicho kipaji chako.Siuzi biashara..... Nauza vifaa...... Kama unahisi itakulipa unaweza kununua. Lakini nimejaribu kutoa uzoefu kidogo coz biashara nimeifanya. Ila endelea kujitahidi unaweza ukatoka ktk kipaji chako cha utabiri. Maana umetabir kama biaahara ilikua ngumu.
Hahahahahaaaaa..... U made my day![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Unapingana na title yako mwenyewe ya NUNUA BIASHARA HII SASA UJIKOMBOE , pengine nawe ndicho kipaji chako.
Basi endelea na kipaji hicho cha kupingana na title, unawez ukatoka na wewe pia.
Tunapotafuta kichwa cha kutangaza habari ktk kurasa za bure kama hizi lazima tuwe wabunifu ili kuvuta wasomaji. Ingawa tiitle imeandikwa nunua biashara lakini ktk content hakukuwa biashara yyte inayouzwa ila vifaaa tu. Nimegundua kipaji kingine kwako "always seing things in negative"Unapingana na title yako mwenyewe ya NUNUA BIASHARA HII SASA UJIKOMBOE , pengine nawe ndicho kipaji chako.
Basi endelea na kipaji hicho cha kupingana na title, unawez ukatoka na wewe pia.
Hahaha! Faida katika biashara unatokana na vitu vingi ikiwa ni pamoja na usimamizi na utayari wa mtu anayeiendesha...... Hata kama nilikua napata faida haimaanishi nikimpa mtu mwingine asimamie bado faida itakua constant.....so sitaki kubahatisha ni bora niuze vifaaa.We unajitia janja ya nyani ila ni muongo tu, biashara imekushinda unataka kujidai unaenda ng'ambo kimasomo! Sijawahi ona mtu ambae anawaza kufunga biashara inayomuingiza faida nzuri na ya uhakika! Ina maana hukuwa na succession plan ama? Next time think critically kabla hujaweka post za kiduwanzi!
N computing ni teknolojia inayowezesha kufanya cpu moja ikaendesha monitor kadhaaa ka kompyuta huru. Mfano; unaweza ukawa na cpu moja na vioo (monitor) tano zikiwa na keyboard na mouse zake then teknolojia hii itakusaidia kufanya zile monitor zote zifanye kazi kama kompyuta huru kwa kutumia cpu moja tu.N computing device ndio nini??