Nukuu toka kwa JK

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
5,564
Reaction score
850
Napenda kuwahakikishia kuwa sitawaangusha. Utekelezaji wa Ilani yetu ya Uchaguzi upo salama mikononi mwangu.

Jakaya Mrisho Kikwete. December 30, 2005.

Serikali ya Awamu ya Nne ambayo nimepewa heshima ya kuiongoza, inaanza kazi wakati nchi ikiwa na hali nzuri kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Jakaya Mrisho Kikwete. December 30, 2005


Jakaya Mrisho Kikwete. December 30, 2005.

Nitataka watakaokuwa kwenye Serikali ya Awamu ya Nne wajijengee tabia ya mara kwa mara wao wenyewe kujiuliza iwapo kwa maamuzi yao, kwa vitendo vyao na kwa tabia zao wanajenga au wanabomoa heshima ya Serikali machoni pa wananchi.

Jakaya Mrisho Kikwete. December 30, 2005.


Jakaya Mrisho Kikwete. December 30, 2005.
 
Najua mengi yamesemwa na watu wanaodai wanamfahamu Jakaya Mrisho Kikwete na jinsi atakavyolegeza mambo. Napenda kuwahakikishieni kuwa watu hao wamepotea sana.

Jakaya Mrisho Kikwete. December 30, 2005.

Kasi mpya inayozungumziwa ni ya kusonga mbele na siyo kuserereka na kurudi nyuma kwa kasi.

Jakaya Mrisho Kikwete. December 30, 2005.

Jakaya Mrisho Kikwete. December 30, 2005.

Lengo letu kuu ni kusukuma ukuaji wa uchumi kwa ARI MPYA, NGUVU MPYA na KASI MPYA ili kuwa na MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.

Jakaya Mrisho Kikwete. December 30, 2005.
 
Alikuwa hajaujua URAIS wa NCHI ni nini hasa. Alikuwa pia hajawajua waliokuwa wamemsaidia kuupata Urais huu. Alikuwa hawajui WATANZANIA wanafanyaje kazi. Yeye na kundi lake maarufu kama wanamtandao waliutaka Urais kwa malengo tofauti. Aliupata Urais kwa hujuma, pesa chafu, kampeni chafu, rafu za ajabu, ......... Mungu wetu asingeweza kumsamehe.
 
My government is going to deal with all forms of corruption. White-collar corruption will be high on the list and we are going to plug all gaps that are being used by corrupt leaders (and) business people.

Jakaya Mrisho Kikwete.


Jakaya Mrisho Kikwete.
 

Nakumbuka misemo hii...

Don't forget those you meet on your way up because you will meet them on your way down

Do not burn bridges because you might need to go back in the future.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…