Nuclear detterence Doctrine

aiseee ..ilikiwaje sasa ..auwalipigwa mikwara nni !!?
Walitengeneza materials lakini hawakuwa na uwezo wa kutengeneza casing za bomu hivyo walikua wategemee ya USA na ukaja mkataba wa kupunguza silaha za kinyuklia (NPT) wakaamua yaharibu yalikuwa mabom 6!.
 
Walitengeneza materials lakini hawakuwa na uwezo wa kutengeneza casing za bomu hivyo walikua wategemee ya USA na ukaja mkataba wa kupunguza silaha za kinyuklia (NPT) wakaamua yaharibu yalikuwa mabom 6!.
okay mkuu ..hapo sa nimeelewa ..walifanyiwa hujuma tu
 
Mataifa mengi yanayo nyuklia ila siyo ya kivita, ipo ile amvayo haiivishi hata viazi.
Wanazalisha umeme wa uhakika kufanya maendeleo na mfumo wao wa maisha uwe mzuri.
Wamarekani wanasema nuclear ya north korea haiivishi hata kiazi, wanafahamu stage zite alizofikia, wanasema yale maroketi anayorusha eti nikama kuweka sodium kwenye cocacola tu, itafyatuka kwenda angani hivyo hawana wasiwasi kabisa.
Sisi tulipaswa tuweze hata kufuga mbwa wakali lakini hata hilo hatuwezi.
Najua tuko trained kutumia silaha nyingi na za aina tofauti, lakini hatuwezi kutengeneza.
Kwanini tusinunue teknologia hata ya kuzamaniii kutengeneza land mines tuweze kuzitengeneza wenyewe na tuwe efficient, au hata kutenfeneza grunade zetu, siyo kila kitu cha kijeshi tununue.
 
Kuna mkataba unaokataza majaribio ya kinyuklia na kuzisambaza duniani unaitwa The Treaty on the Non-Proliferation of Nuclear Weapons(NPT) huo ndio unaoyafunga mengi na ndio unaosababisha North Korea aonekane mkorofi ingawa wakubwa wote saa hivi wana mabomu yao na mengine wanajaribu chini ya ardhi!.
Tatizo la afrika nazani hatuna siasa nzuri na tumejaa migogoro ikifika kipindi nchi ikazipata hizi silaha majaribio yataanza kwa wananchi!..
Kitu pekee ni tugeuze hii teknolojia itumike kutupatia umeme wa uhakika na kwa matumizi ya ujenziukiangalia kama operation storax na Operation Plowshare hizi zote zililenga kuonyesha matumizi ya nyuklia katika shughuli za kiuchumi!.
 
okay mkuu ..hapo sa nimeelewa ..walifanyiwa hujuma tu
Inawezekana ikawa hivyo maana jamaa walikua wasiri sana ila majasusi wa soviet wakaipata habari wakaamua kuwatonya wamarekani kwamba mnamsupply mkijua kwa ajili ya umeme mwenzenu anatengeneza bomu ikabid wamarekani watume ndege zao kuchunguza wakaja shtuka kweli kinachoandaliwa ni bomu wakaamua kuwapiga onyo wasilitengeneze!..
Huku mfaransa nae alikua anawasupply nuclear reactor nae akawapiga onyo wakiendelea hatawapa technolojia yake!..Ikabidi jamaa wafunge program!.
South africa walikua wanatumia ujuzi wa pakistan kutengeneza kwa siri na si unajua pakistan nae aliiba blueprint yake kwa muingereza kwahiyo ingekuwa soo!..
 
mmarekani kipindi hicho alikuwa hana sana ukaribu na israel,sio kama sasa ambapo marekani kajipa ubodyguard wa israel,
sasa marekani hangeweza kuwazuia wangelipua tu,
israel wanajijua wao tu kwa hiyo wakiona marekani anazengua hawachelewi kujiunga kambi nyingine,ndo maana kipindi cha obama,Netanyau alianza kuwa karibu na putin baada ya kuzenguana na Obama.

Kuhusu ujerumani wao hawataki tu kuwa na jeshi lenye nguvu,lakini technolojia wanayo,
ndo maana hata nuclear submarine zote za israel anatengenezewa na ujerumani,tena na ujerumani akitoa baadhi ya gharama,
israel hata akiigeuka ujerumani kwasasa ni kazi bure,viwanda vingi vya ujerumani viko katika system ya kwamba in case vikazuka vita,basi ni faster vinabadirika na kuanza kuzalisha silaha,
hata technology ya nuclear wao wanayo na itachukua miezi michache kuunda na ku massproduce makombora,vifaru,ndege etc
 
Hiyo non proliferation treaty si ndio inazuia wasitumie nyuklia kutengeneza mabomu?! Sasa kwanini wasiruhusu nuclear ya umeme kwa kila taifa?!
Sisi akili yetu imejaa ukoko, watawala hawataki free idea, kila wazo wanataka liwe lao. Hata ukiweza kukojoa dawa ya mchwa watakubandika jiwe la msingi na utakuwa mali yao.
Akili yao ni kumtawala kila aliye ndani ya himaya zao. Akiwa na vijiakili kidoogo atatumia wenyeakili kufanikiwa. Lakini hizi akili za siasa zilizopo, unaona tunanunua hadi vitambaa vya magwanda ya jeshi. Hao wanaotuletea siku wakigoma hahaha.
 
I
 
Africa kusini wao waliharibu makombora yao baada ya Nelson mandela kukamata madaraka,
nilikuwa mdogo kipindi kile ila hii ishu nilikuwa naifuatilia na iliniuma mno baada ya africa kusini kuyaharibu,
makaburu ndo waliunda hayo makombora na ndo walishirikiana na israel,
Israel hajawahi jaribisha kombora la nyuklia nchini mwake,maana majaribio aliyafanyia africa kusini,
kwenye jangwa la kalahari kama sikosei,
 
Israel na US are Inseperable. Kennedy anajaribu kuwabana Israel kilichompata kinajulika. Ujerumani ni rafiki mkubwa sana wa Israel ikiwa kama namna ya kufuta makosa kwa aliyoyafanya Hitler. BND na Mossad ni mtu na best yake. Fatilia jinsi BND walivyowashawishi Siemens kutoa mianya ya kuingiliwa mitambo ta nyukilia ya Iran na Mossad na CIA.
 
South Africa waliharibu nuclear yao kabla hata Mandela hajashika madaraka,ilikua mwaka 1989 Kama sikosei. Waliharibu kutokana na ule mkataba wa NPT na pia pressure toka Washington.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…