Dullyvanny
Member
- Aug 9, 2015
- 5
- 4
Natamani kweli ili US aonyeshe nguvu yake ili wanaobisha waache,US ni habari nyingine jamaUrusi hachokozwi na anacho mtafutaga US atakuja kukipata sababu kila sehem anamfuatafuata sana US nia yake aone nguvu ya US na hilo US anajua bila shaka hajasahau kusambalatishwa kwa USSR ...Urus aache chokochoko
Mapank ni kichaa tuu kama hili la hapa.Mapank atashikwa kilaini sana kama Urus angekuwa na Msaada Sadam na Libya walinyongwa mchana kweupe ....Mrus kama ananguvu US asingetia pua Korea, Syria kapigwa kalaani tu na Korea nako yuko.. Bila shaka Mrusi hataki vita ila mwenye akili atajua Mrusi anafanya biashara ya slaha Ili kama Mapank akishindwa amuuzie Nukes. Us kamsoma sana
Likipita sehemu ya kwake atalitungua tuUsitegemee mrusi kutungua hata drone ya Marekani.Kasogeza majeshi kulinda mipaka yake na nchi yake kiujumla huwez jua labda kombora linaweza kukosea njia likaenda Moscow.
Ulichokiandika na nilichokiandika ukisoma vzr sidhan km vina tofaut.Likipita sehemu ya kwake atalitungua tu
Mpaka hapo hakuna vita ni tension tu tunarudi enzi za media and laboratory war(cold war)[HASHTAG]#UpdatesKimataifa[/HASHTAG]
Urusi tayari imesogea kwenye Mpaka wake na Korea kaskazini na kufunga silaha Nzito za kutungua Ndege Pamoja na kudaka Makombora Ya Marekani Dhidi ya Korea kaskazini.
Urusi imekiri kuwepo kwa uchokozi wa Marekani katika Rasi ya Korea.
Mpaka hapo hakuna vita ni tension tu tunarudi enzi za media and laboratory war(cold war)
Mapank ni kichaa tuu kama hili la hapa.