Ntarahamwe ni nini?


Nimeilewa vizuri analysis yako mkuu. Kumbe Prof alitumia msamiati mzito sana!!
 
Rwanda wamekuwa vindicated kwa genge la CCM ya JK kulinganishwa na wabaya wao Ntarahamwe
 
Huyu amewahi kuwa mkuu wa kanisa la Anglikana Tanzania. Sikutegemea kuwa anaweza kuwa mtumwa wa mawazo kiasi hiki.
Acha bange wewe ,kwa hiyo akiwa mkuu wa kanisa ndiyo hawezi kuwa intarahamwe.huyu ndiyo intarahamwe mkubwa sishangai kanisa lenyewe askofu wako mkuu kuwa shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…