Mbona kuna jamaa ameletewa na muuza duka la mhindi,mpya na complete ndan ya box kwa lak1.5!,tena amesema analeta i pads za kutosha wk ijayo. anataka apige hela asepe!
lol! vibaka hawawez kumbania, hata kwa laki wanamuuzia, si wanajua wanawekeza, siku wakichoka wanamtarget yeye mwenywe wanampiga ngeta wanaenda kuiuza kwa mwingine tena!