Mkuu naunga mkono hoja. Nikiwa mkazi wa Moshi manispaa japo sio mzawa, kura ya udiwani ni Kagoma, CHADEMA, kiborlon. Kura ya ubunge ni Japhary Michael, CHADEMA. Kura ya urais ataamua Dr Slaa. Sitaki unafiki kabisa. I believe in Dr Slaa than any politician. Unless otherwise specified why this happens to Dr Slaa, my hero.