Ntakuchapa viboko wewe mwanamke !!!!!!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,899
Reaction score
37,699
This is the most sexiest woman on the planet earth. Cause she knows how to "contain" a man.

Hakunaga mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mpole.
 

Attachments

  • FB_IMG_1566298779722.jpg
    16.3 KB · Views: 26
This is the most sexiest woman on the planet earth. Cause she knows how to "contain" a man.

Hakunaga mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mpole.
Wanawake wengi wapo hivyo. Labda utuambie huko kwenu wengi kwenye situation hio wanajibu 'nipige uone'?
 
Ni ujinga kutaka kuwa na Mwanamke kama huyo kwani dhahiri kwamba anakudanganya hata ukimuangalia tu, anakufanya mtoto ukigeuza mgongo anakucheka, akisema lione jinga hili.

Ni bora yule aliye jinsi alivyo.
 
Walishapumzishwa toka vita ya Maji Maji enzi za Kinjekitile Ngwale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…