Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
em jiweke ktk position ya mtoa mada, afu tafakari kdogo. Uje na jibu.
aaaaah alihitaji muda wa kuvuta bangi ili apate akili ya kupanga afanye nn baada ya hapo.......ila ujafanya fea aisee mwenzio unajua situation aliyonayo unafikiri atapata muda wa kujibu msg za boyfrnd kwa wakati huo? mpe muda atakuwa sawa baba
nimetafakari ila ningemuelewa huyo mpenzi wangu. kuna kipindi nilipataga matatizo na bf wangu alikua anapiga hata Mara 20 lakin nilikua tu sina mood ya kuongea nae kutokana na yaliyokua yamenisibu. sim inaita hadi inakata nashukuru alikuwaga muelewa wa hali yay juu kipindi hiko.
haina haja ya kuanza kuweka hizo negativity..... jaribu kufikiria positive tu hasa katika hiyo crisis girlfriend wake anyoiface
Ama kweli nimeamini Ukipata matatizo ndo utajua nani rafiki nani........
Hata kama ungekesha siku tatu kumtafuta umeshindwa kumjibu msg yake?
Kila binadamu ana njia yake ya kupokea tatizo. Mwingine hataki mawasiliano na dunia mpaka akili yake ikishakubaliana na hali halisi....wewe badala ya kumsikiliza umemdiss
Asalaam waungwana..!!!ishu iko hivi natiririka.... niko na mpenzi wangu kwa mda sasa,mpenzi wangu huyu ali kua ameajiliwa kwenye kampuni binafsi sasa juzi yalitokea matatizo kazini kwake,kwa bahati mbaya akaonekane yeye ndo kasababisha na akawa amefukuzwa kazi..tulikua na wakati mgumu kumfariji as alikua amechanganyikiwa kabisa coz hiyo kazi ndo alikua anaitegemea kumtunza yeye na mama yake.
Tangu amefukuzwa kazi amebadilika nmekua simwelewi imekua kma vile mie ndo nmemfukuza kazi.
Jana nlimpigia simu mida ya saa tisa mchana akanambia anaitaji kumpumzika and that shes drinking..for all of that time that we wre together i had never seen or heard that she drnks..sikumsubua for i knew her frastrations..
tangu saa tisa nlikua nikijitahidi kumpigia simu bila mafanikio amekua hapokei simu yangu,nimetuma text mesges hakuna response yoyote watsapp vile vile,nkimcheck watsapp some times anakua online some times offline,that meant she sees ma text msges and my calls ila anafanya kusudi tu.
Ukitulia una busara
uyo muda wote aliokua hataki kusikia chochote toka kwako, alikua ana deal na mipango ya kuchepuka tu aliwazwe sasa uko nako hakukueleweka kaamua atulize akili kwako, maana kama amefukuzwa kazi naamini kabisa wa kwanza kumtafuta ili amfariji na kumpa maneno ya faraja ni wewe, pamoja kukaa home na familia ikimpa mbinu ili ajipange. Sasa kujikausha na kutokujibu msg wala kupokea simu tena zaidi ya siku ndio nini??mbaya zaidi hata kama aliitaji muda wa kua peke yake ndio asikuambie ataenda wapi kutumia muda huo alone??mmh tht is childish, tabu ya ku date vibinti below 25 (ingawa si wote) we jiulize kama hakutaka kusumbuliwa huo muda aliokua online whtsapp alikua anafanya nini hadi wewe asikujib kitu
stress gan hzo anakuavoid kias hcho? Mi nadhan wakat huu ndo angekuwa anakaa na wewe karibu lakn sivyo! Huyu ana mambo mengne nyuma ya pazia. Utakuja stuka kuna mv mwngne anamfariji wakat huu we unaishia kutext na colz tu
Nitakujibu usikuuuuuu daku ikishapita