Nicodemas Tambo Mwikozi
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 663
- 1,047
Ngoja nikutaftie nakutmia LinkMkuu,
Umetumia wavuti/kiunganishi gani kupakua hii filamu, nimetafuta na kuipakua kutoa extratorrent na ugtorrent lakini zote zinanipeleka kwenye viunganishi vingine tena vyenye nywila ya vipakuzi vingine nimeishia tu kuzifuta.
Kaka ...
Frozen king mbona ni megegedo gumi kiduchu sana1.Frozen king :- hii mfalme ilikua shoga Jamaa ake bodigadi ndio alikua jamaa ake badae akamsaliti mfalme shoga anapigana balaa humo ndani kuna ngumi hatari
2.Kyon Ki :- indian love story
3.Troy
4.NOVEMBER MAN Ya kijasusi
5.Unknown ya kijasusi
Mkuu nisaidie link ya ku-download movie mpya!!Bas mi niko nyuma ya mda,ngoja niingie chimbo niipakue,ila cjui kama itakua katka good quality
Hahaaa bila kuisahau notriti nosalendaKama kuna za chark nors na tonijaa
Walizotoa mpya embu mnipe link
Ipo kwenye mitandao, nmeiangalia Jana humu kwenye megabox hdMkuu,John wick chapter 2 imetoka tyr?