Ofisi ya NSSF wilaya ya Masasi utendaji wao wa kazi hauridhishi kwani ukiuliza taarifa zako kama mwanachama wao huja juu kwa kufokafoka na kutoa visingizio visivyo na pia kusingizia taarifa kuwepo ofisi ya mkoa mtwara na ukienda huko. utaambiwa hatushughuliki na wanachama wa Masasi, watu hawa ni pasua kichwa