kinyoba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2011 Posts 1,267 Reaction score 720 Sep 3, 2011 #1 Wadau naomba mnisaidie kujua tofauti ya haya mashirika mawili kwa maana ya ubora na faida kwa mwanachama. Nahitaji kuwa member katika moja ya haya mashirika na sijapata details zao!
Wadau naomba mnisaidie kujua tofauti ya haya mashirika mawili kwa maana ya ubora na faida kwa mwanachama. Nahitaji kuwa member katika moja ya haya mashirika na sijapata details zao!