Hivi wana jamvi wenzangu ni halali kwa mtu aliekuwa mwajiri wako kuchukua na kukatalia kitambulisho chako cha uanachama wa NSSF kisa umeamua kuacha kazi?
Nenda police katoe loss report na umtaje aliyekunyang'a kama mshukuwa no 1. Iwapo atakana, police watakupa kithibitisho cha kupotelewa na utaendanacho nssf kuendelea na ufunguzu wa madai au kuendelea na michango