MUSONI JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 904 Reaction score 692 Feb 7, 2012 #1 Wadau salam, naomba mwenye taarifa za KAZI ZA NSSF TULIFANYA INTERVIEW kwenye madalasa ya IFM, mwezi uliopita tunaona kimya ama wamekwisha chukua kimya kimya...mwenye taarifa atujuze.
Wadau salam, naomba mwenye taarifa za KAZI ZA NSSF TULIFANYA INTERVIEW kwenye madalasa ya IFM, mwezi uliopita tunaona kimya ama wamekwisha chukua kimya kimya...mwenye taarifa atujuze.
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,388 Feb 7, 2012 #2 Uliandika namba za simu vizuri? Tumewapigia simu wenzako wote.