NSSF Jipu au Kansa?

hps300

Senior Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
170
Reaction score
152
Ufisadi wa NSSF Ukweli ni upi?

IKIWA HIZI TAARIFA NI KWELI AMA SIKWELI HEBU WAHUSIKA WATUELEZE MAKE TUNAZIDI KUCHANGANYIKIWA SISI WANACHAMA HII MIFUKO

Na kweli walikuja na kutuaminsha hakuna wa kuziba pengo la Dau NSSF, kwa ulaji huu kweli nimeamini hakuna wa kumfikia katika huu utendaji ULIOTOKOTA.
 
Ufisadi wa NSSF Ukweli ni upi?

IKIWA HIZI TAARIFA NI KWELI AMA SIKWELI HEBU WAHUSIKA WATUELEZE MAKE TUNAZIDI KUCHANGANYIKIWA SISI WANACHAMA HII MIFUKO

Kabla haujaandika jaribu kuwa unaangalia kwanza hii issue imeshaandikwa na kujadiliwa kwa kirefu
 
Kabla haujaandika jaribu kuwa unaangalia kwanza hii issue imeshaandikwa na kujadiliwa kwa kirefu
Kujadiliwa sawa hoja ni ukweli uko wapi? make mpaka leo vyombo mbalimbali vimeendelea kuandika na siyo mimi peke yangu, upo hapo.
Kama una ukweli ulioupata baada ya kuijadili kwa muda mrefu kama unavodai hebu share na mimi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…