NSELUKA DAY CARE & NURSERY SCHOOL

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Heshima kwenu wote.
Tunawakaribisha wazazi na wanafunzi kwenye shule yetu ya Nseluka day care,iliyopo Pongwe,mtaa wa Sumbawanga,jijini Tanga.
Tunapokea watoto wa kutwa kuanzia miaka 1-7 wa jinsia zote.
Ada zetu ni nafuu sana na unaweza kulipa kwa awamu.
Chakula bora cha mchana na chai hutolewa shuleni.
Tuna walimu wenye uzoefu wa muda mrefu na kuna mazingira rafiki ya watoto kujifunzia.
Mawasiliano:
0718194799
Karibuni wote.

 
Karibuni wadau,tuna punguzo la ada toka kwenye familia ya JF![emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…