Title uliyoweka inaonesha kama nchi ya Kenya wamebadili muonekano wa noti zao...
Halafu Dr......mbona kama zitafanana na zetu.......?.......mi naogopa kuzichanganya ujue........hasa hao animolisi.........
It's only a private design project. Sio rasmi.
Haioneshi mabadiliko yangu, kwa nini?
picha nzuri kweli, lakini nilishangaa nilipoona noti ya elfu tano kabla nijue wewe ndiye uliye design, hatuna 5000 note.Hodi!
Kwa mujibu ya katiba mpya picha ya mtu haitakiwi kutumii katika noti mpya wa Kenya.
allAfrica.com: Kenya: CBK to Roll-Out New Currency This Week
Kwa hiyo, kama designer nimebuni noti haya mpya kwa ajili ya kujifurahisha tu!
View attachment 256888
View attachment 256889