Kivuyooo...acha kukariri.Ukiona neno "kuishi maisha magumu na mashaka" wewe unawaza ni kula makande tu?Haufikirii kuhusu uhuru wa nafsi iliyo na furaha bila woga?Umeelewa au uletewe "pure"?
Nyie muna uhuru gani huko kwenu mzee kuwazidi korea
Si munalalamika hapa kufanya maandamano jeshi likiwa linataka kufanya usafi
Jeshi linafanya zake usafi halina muda mtu nyie andamaneni si mnasema maandamano ya amani ila bado mnalialia tu yaaani