Hamuoni dawati, daftari na pen hapo? Inawezekana kabisa ni simu original, sometimes maisha ya shule yanamfanya mtu afanye hivyo. Nadhani nyote mmepitia huko.
Nakumbuka nikiwa first year nilinunua Samsung digital camera, nilikuja kuiuza mwaka wa 3 baada ya habari kuchanganya. Nikaona isiwe taabu, nina asset ndani kwa nini nisiuze! Nikauza bei tofauti na niliyonunulia.