Teh teh teh teh.....
Maajabu zaidi yako China. Nchi nzima one time zone despite Geography saying it has four time zones.
Mi huwa nafurahia mno vituko vya North Korea.
Le tamkoz lao la kwa nini wameamua kurudisha muda nyuma limenichekesha sana.
Mi nadhani wako sahihi sana,issue ni kuwa hao Wakorea walikuwa kwenye GMT+8.30 kabla ya kuvamiwa na kutawaliwa na wajapani, hivyo wajapani walipoichukua Korea walibadirisha majira kutoka 8.39 na kwenda 9.00 kuwa sawa na ule wa kwao Japan ili isiwachanganye kwenye utawala wao, nadhani wameamua kurudi kwenye muda wao sahihiMi huwa nafurahia mno vituko vya North Korea.Le tamkoz lao la kwa nini wameamua kurudisha muda nyuma limenichekesha sana.
Mi nadhani wako sahihi sana,issue ni kuwa hao Wakorea walikuwa kwenye GMT+8.30 kabla ya kuvamiwa na kutawaliwa na wajapani, hivyo wajapani walipoichukua Korea walibadirisha majira kutoka 8.39 na kwenda 9.00 kuwa sawa na ule wa kwao Japan ili isiwachanganye kwenye utawala wao, nadhani wameamua kurudi kwenye muda wao sahihi
Hilo tatizo hata Tanzania lipo, kiukweli kabisa Kigoma haiko kwenye GMT+3.00, bali iko kwenye GMT+2.00 sawa na East DRC, Rwanda na Burundi, ingekuwa Busara pia kwa Tanzania kuirudisha Kigoma kwenye muda wake sahihi
ya kweli hayo mkuu??
Napenda siku south na north ziungane na ziangalie maendeleo zaidi sio kutishiana
Mi huwa nafurahia mno vituko vya North Korea.
Le tamkoz lao la kwa nini wameamua kurudisha muda nyuma limenichekesha sana.