Hapa issue ni kuwa,Trump jana kasema iwapo korea watawatishia tena watakumbana na nguvu kubwa ambayo dunia haijapata kushuhudia,
sasa haijapita mda korea wametishia kuipiga Guam,
sasa tungoje marekani watatimiza ahadi yao ama Trump alitoa povu?.
Long live great leader Kim Un...
Warning! Kim will be met with "Fire and Fury".
Just in - "North Korea, you are not our enemy "- Tillerson talking in Manilla via CNN
D Trump is making mistakes, again.
US has to contain the threat of NK the same as other nukes nations which were contained for number of years through dialogue and not war of words.
Tatzo co kumchabanga, haki itendeke hatupendi hbr ya mtu kuja kwako kukupangia namna ya kuishi!
Korea miaka yote walikuwa wanaiweka marekani kwenye Targets walisha fanikiwa hilo na marekani wanalijua kim kufanya majaribio nikutaka kumtoa nyoka pangoni ila nyoka mwenyewe anaonekana ni muoga kuliko ilivyotarajiwa kutoka pangoni lazima marekani atalipa gharama kama kim anavyosema !!!Hapa issue ni kuwa,Trump jana kasema iwapo korea watawatishia tena watakumbana na nguvu kubwa ambayo dunia haijapata kushuhudia,
sasa haijapita mda korea wametishia kuipiga Guam,
sasa tungoje marekani watatimiza ahadi yao ama Trump alitoa povu?.
Long live great leader Kim Un...
Na asipo nasa mkuu tutamfuta huko huko tukifanya tena jaribio tunaongeza acceleration likaangukie huko huko kwake tuone atajibu vipi!!Hakuna vita hapa Korea kaskazini imekuwa ikitumiwa tu kama mtego na wakubwa zake ili USA aingie kichwa kichwa kuna mataifa yanatamani kulipa kisasi ila sema USA alishashituka zamani sana hofu yangu mimi ni kuwa RUSSIA CHINA huenda walishampa dogo makombora ya nyuklia au wapo kabisa PYONGYANG wanacontrol kila kitu wanaangalia je mjomba na vibaraka wake watanasa ili pale ulaya tupageuze majivu
Kuna coment unaweza kucheka mpaka uonekane mjinga aisee,mkuu nimecheka sana hii salute kwakoNa asipo nasa mkuu tutamfuta huko huko tukifanya tena jaribio tunaongeza acceleration likaangukie huko huko kwake tuone atajibu vipi!!
Akigoma tutajua cha kufanya!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na asipo nasa mkuu tutamfuta huko huko tukifanya tena jaribio tunaongeza acceleration likaangukie huko huko kwake tuone atajibu vipi!!
Akigoma tutajua cha kufanya!!!
poor analysis hufai hata kuwa kwenye kamati ya ulinzi ya kijijiHakuna vita hapa Korea kaskazini imekuwa ikitumiwa tu kama mtego na wakubwa zake ili USA aingie kichwa kichwa kuna mataifa yanatamani kulipa kisasi ila sema USA alishashituka zamani sana hofu yangu mimi ni kuwa RUSSIA CHINA huenda walishampa dogo makombora ya nyuklia au wapo kabisa PYONGYANG wanacontrol kila kitu wanaangalia je mjomba na vibaraka wake watanasa ili pale ulaya tupageuze majivu