North Korea 'executes vice premier over forestry dispute'

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,448
Reaction score
46,216
Inasemekana kuwa Makamu Waziri Mkuu wa Rais wa Korea Kaskazini amenyongwa Mwezi wa Tano Mwaka huu kwa amri ya Rais wa Nchi hiyo Kim Jong Un.

 
Huyu dogo kama angekuwa rais wa Tz sijui kama tungesalimika manake angetumaliza kabisa!!!!
 
Hivi huyu dikteta wa Korea Kaskazini ni Kim Jong Un ni mwehu? Mwezi Mei mwaka alimuua hadharani Waziri wake wa Ulinzi kwa kosa la kusinzia wakati yeye akihutubia, mwaka juzi alimuua mjomba wake kwa kumhisi kutaka kumpindua na hivi karibuni kamuua Naibu Waziri mkuu wake kwa kutofautiana naye juu ya sera ya misitu.

Yeye anasimamia kupunguza idadi misitu kwa sababu nchi imekuwa pori na Rais hataki, hilo tu kagongwa risasi hadharani.

Huyu angekuwa huku kwetu rushwa ya uchaguzi ingejifuta yenyewe.
 
duh huyo jamaa anafaa sana hapa tz...
 
Angekuwa rais wa bongo ningebaki mimi tu
 
Kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake bila kubugudhiwa na mwingine,hiyo nchi haina uhuru wa mawazo......ndio yale yale ya zidumu fikra za mwenyekiti ata km sio sahihi maadam katoa mwenyekiti basi ni sawa.
 
Huyo dogo siku zinakuja atalitafuta Neno hata liona, atatamani kuokoka haitawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…