North Korea Cars

Nimependa kingereza chako ulichotumia ku-google: 'How many cars in North Korea'...najitahidi kuelewa ulichomaanisha lakini hadi sasa nimetoka kapa
Baba usijifanye unajuwa English hapa hiyo lugha imelala. Ilikuwa tu hand mistake. Take it easy. Mimi Kwenye hiyo lugha nakutoa makamasi
 
Hawa lazima wawe masikini maana kule hawana dini na wanamuabudu Rais wao as god... Kazi kwako
Wewe mwenye dini nchi yako ni ya ngapi kwa utajiri baada ya supa pawa wa mchongo marekani.
Hizi dini zinawapumbaza sanaaa hizi taasisi mliletewa na babu zao ili kuwanyonya,kuwaibia,kuwapumbaza nyie msioelewa.
Kabla ya wao kuja tulikua tunamuabudu Mungu kwa njia zetu sasa ww unajiona mjanja kwa sababu ya izo taasisi.
Bob marley anasema jiondoe kwenye fikra za kitumwa.
 
Wako vizuri kwenye silaha ila magari ni anasa kwao na ni ghali au hawaruhusiwi
Ila kwa uhaba wa magari unaweza ukalala barabarani na gari isipite kabisa au moja ikakukwepa [emoji23]

Ushahidi kwa msaada wa Google


 
Watasema propaganda.
 
Baba usijifanye unajuwa English hapa hiyo lugha imelala. Ilikuwa tu hand mistake. Take it easy. Mimi Kwenye hiyo lugha nakutoa makamasi
Siku zote anaejifanya kukosoa lugha utakuta yeye kasoma kwa kuunga unga hata akitaka kuandika anatumia dictionary [emoji3]
 
Nimependa kingereza chako ulichotumia ku-google: 'How many cars in North Korea'...najitahidi kuelewa ulichomaanisha lakini hadi sasa nimetoka kapa
Katika google hauna haja ya kuandika maneno mengi. Yaani angeweza andika 'cars in north korea' na majibu yangekuja.

Kuandika maneno mengi kunasababisha uzalishaji wa carbon waste, kuna mafunzo ya jinsi ya kuandika ili usearch na idea ni kupunguza carbon waste. Kwa kuangalia ulichoandika nafikiri haujui sana kuhusu google search engine.
 
Sisi tulianza na DOS, tukaingia na Windows NT baadae Windows Y2K then hiyo Xp.
So hakuna kipya kwenye OS.
Na wewe umeona kwamba user interface ya hiyo browaser ni kama ya xp au vista? Na hiyo red star ni kama Mac
 
Hivi mnanua kwa miundombinu Singapore wako vyema kuliko America.
America pa kawaida sana ni Kama pale Mnazi mmoja tu hivyo Korea pako poa.
 
1.wana magari ya Umma
2. Hawasimami foleni wala kusimama kwenye daladala
3. Huduma nyingi za kijamii bure, Elimu, Afya etc

Toka North Korea wawasamehe ambao walitoroka Nchi yao Maelfu wanarudi, kuna Video moja nikipata muda nitakuekea Jamaa Analia Katoroka North Kaja South Maisha magumu kila kitu alipie.

Na Pyongyang huwezi ifananisha na Mji wowote Afrika mashariki, Hawana Utajiri wa ulaya ila pia hawana Umasikini wa Africa.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…