fundi msati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 219
- 92
mkuu naomba msaada,kwa upande wangu napata shida siku hizi kutumia App ya Mtalk kwenye Lumia Yangu running window 10,nimejaribu njia zote lakini imeshindikana kuipata JF ikanibidi ni download Tapatalk lakini nayo pia huduma ya JF haipatikani ndg yangu,nahitaji msaada wako ndg yangu. Ubarikiweshortcut install market ya 1mobile click link hii hapa chini
1Mobile Market - best Google Android Apps Market
njia ndefu na kusolve hilo tatizo permanent itabidi uroot simu na kuinstall google apps ikiwemo playstore.
Advanced Nokia X2 Tool for Google Play installation, Rooting, Recovery with ease on Nokia X2
sema itabidi uwe na ujuzi kidogo
njia nyengine eka custom rom, hii simu ina support nzuri custom rom za kisasa hadi lineage os zipo ambayo itaifanya simu yako iwe na android 7 nougat.
jaribu kusearch forums nyengine unazipata? kama unazipata itakuwa tatizo ni upande wa jf, waambie jukwaa la malalamiko. huwa kuna wakati jf inapotea na kurudi tapatalk (mtalk ni tapatalk)mkuu naomba msaada,kwa upande wangu napata shida siku hizi kutumia App ya Mtalk kwenye Lumia Yangu running window 10,nimejaribu njia zote lakini imeshindikana kuipata JF ikanibidi ni download Tapatalk lakini nayo pia huduma ya JF haipatikani ndg yangu,nahitaji msaada wako ndg yangu. Ubarikiwe
Ahsante sana Ndg yangu kwa msaada wako,kama ulivyosema naona tatizo litakuwa upande wa JF maana forums zingine niki search zipo ila kutoa hii tu forums pendwa JF,Goja nifanye kams ulivyonielekeza ndg yangu ahsante sana.jaribu kusearch forums nyengine unazipata? kama unazipata itakuwa tatizo ni upande wa jf, waambie jukwaa la malalamiko. huwa kuna wakati jf inapotea na kurudi tapatalk (mtalk ni tapatalk)
custom rom inahitaji kuroot simu, kueka custom recovery kisha ueke custom rom,
- Dah mkuu kweli njia ni ndefu. mi sijaelewa hata ilo neno root nikufanyaje. Maana nimeifuata hiyo link ila nilichokuta nimeshindwa hata nianzie wap
- Na hii costom rom nawezaje kuipata App yake ??
Poa acha ni mtafute mtaalam na bila shaka mpaka niwe mjinicustom rom inahitaji kuroot simu, kueka custom recovery kisha ueke custom rom,
kama ni ngumu tafuta mtu akufanyie, custom rom huwezi eka kwa app.
ukieka custom rom kama cm12 utaisahau hio simu, itakuwa ya kisasa kabisa