Kisali.TechnitianJr. JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 592 Reaction score 183 Nov 9, 2012 #1 Nokia X201 inauzwa bei poa Tsh. 110,000/= Simu ina camera, EDGE class 32, Bluetooth, memory card slot up to 16GB, QWERTY keyboard. Wasiliana nami +255716300091/+255753686485
Nokia X201 inauzwa bei poa Tsh. 110,000/= Simu ina camera, EDGE class 32, Bluetooth, memory card slot up to 16GB, QWERTY keyboard. Wasiliana nami +255716300091/+255753686485
Likasu JF-Expert Member Joined Jan 18, 2011 Posts 857 Reaction score 441 Nov 9, 2012 #2 Ina muda gani tangu umeinunua ? Ipo kwenye hali gani ?
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 33,839 Reaction score 40,689 Nov 9, 2012 #3 Hii mara ya tatu tangazo hili hili naliona unalipost ndani ya siku mbili... Unatujazia server
Kisali.TechnitianJr. JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 592 Reaction score 183 Nov 9, 2012 Thread starter #4 Remote said: Hii mara ya tatu tangazo hili hili naliona unalipost ndani ya siku mbili... Unatujazia server Click to expand... na ww unajaza server sasa na hiyo reply yako #samahani lakini
Remote said: Hii mara ya tatu tangazo hili hili naliona unalipost ndani ya siku mbili... Unatujazia server Click to expand... na ww unajaza server sasa na hiyo reply yako #samahani lakini
CASSIUS Member Joined Nov 1, 2012 Posts 36 Reaction score 5 Nov 9, 2012 #5 Okey nmefurahi kuona post hiyo! Unapatkana wap? Me nko Ubungo-Dar.