Nokia x

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,320
Reaction score
18,599
waungwana naomba nifahamishwe kuhusu nokia x je ni simu nzuri? i
 
waungwana naomba nifahamishwe kuhusu nokia x je ni simu nzuri? ina program ya ku-block calls/sms?, inasupport applications nyingi km simu zingine zinazotumia android OS km vile Samsung galaxy?
Sasa hapo mkuu utasaidiwa vipi?? Kusema tu nokia x!! Funguka zaidi kwani zipo nyingi, we unazungumzia x ngapi?
 
Kwakua ina run under android os basi jua vyote vinavyo function kwenye android na huko pia vina support
 
Nokia x ipo moja zingne ni nokia x+ na nokia xl mi naulzia nokia x
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…