Nokia wazindua tablet ya android n1

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,280
Reaction score
44,418
katika hali isiyotegemewa leo asubuhi nokia wamezindua tablet ya android.

specs

-7.9-inch display IPS LCD 2048×1536 resolution display
-Gorilla® glass 3, Fully laminated zero air-gap display
-A one-piece aluminum body, sandblasted for a satin finish
-64-bit Intel® quad-core processor
-200.7mm X 138.6 mm X 6.9 mm, 318 g
-8 MP rear-facing camera with autofocus, 5 MP front-facing camera with fixed focus and 1080p video recording
-Two 0.5 W stereo speakers, 90 dB with less than 10% total harmonic distortion (THD)
-2GB RAM and 32GB Internal memory
-18.5 Wh (5300 mAh) rechargeable lithium polymer battery (3.7 V)
-Wi-Fi, (802.11a/b/g/n/ac); dual channel (2.4GHz & 5GHz) with MIMO, Bluetooth, BT 4.0
-Android™ 5.0 Lollipop, Nokia Z Launcher

bei yake ni dola 249 kabla ya kodi na ruzuku,

kwa wanaotaka kuisoma zaid
http://n1.nokia.com
 
Aisee kaka Chief-Mkwawa nimevutiwa na hiyo tablet kuanzia resolution, ubora wa kioo pamoja na storage kwa ujumla. Bei bei yake ni affordable ukicompare na specifications pamoja na ubora wake. Walioitelekeza Nokia watarejea tu.
 
Last edited by a moderator:
Nokia si wamebadilisha jina?

microsoft kanunua part ya nokia, then akawa anatumia jina nokia sasa hivi amebadilisha anaziitaq simu zake microsoft, hivyo original nokia ndio katoa hii tablet
 
Aisee kaka Chief-Mkwawa nimevutiwa na hiyo tablet kuanzia resolution, ubora wa kioo pamoja na storage kwa ujumla. Bei bei yake ni affordable ukicompare na specifications pamoja na ubora wake. Walioitelekeza Nokia watarejea tu.

ila hio aspect ratio kwenye android ni majanga 4:3 sijui kuna app ngap zinasuport
 
Last edited by a moderator:
Only in China so haina Playstore. Pia Nokia walisema watakuwa wanalicense jina lao so hii inaweza ikawa imetengenezwa na some chinese company iliyonunua license ya jina.
 
Only in China so haina Playstore. Pia Nokia walisema watakuwa wanalicense jina lao so hii inaweza ikawa imetengenezwa na some chinese company iliyonunua license ya jina.

tablet imezinduliwa na nokia na ipo website ya nokia sidhani kama itakuwa kampuni ya china, mimi napata machale huwenda intel ndio wameruzuku nokia hela watoe hii tablet, maana hio processor inanipa mashaka kwanini nokia wameichagua.

china ndio nchi ya kwanza kuuzwa, then itafatia russia halafu baadhi ya nchi za ulaya
 
Inatumia Android ya google au?

hapana nokia hawezi tengeneza android ya google, ndio maana hata masoko wanayotarget ya china na urusi huko wana store zao tofauti

ila am not sure just naongea from experience
 
Ni stock Android 5.o ninavyoelewa sema ina hiyo Z launcher installed, waliirelease Playstore pia.
Ila haina App za Google kama Playstore, Maps etc kama unazitaka inabidi uzisideload.
 
Only in China so haina Playstore. Pia Nokia walisema watakuwa wanalicense jina lao so hii inaweza ikawa imetengenezwa na some chinese company iliyonunua license ya jina.
foxconn ndio wanaotengeza hii
 
foxconn ndio wanaotengeza hii

haijajulikana kaka maana kuna mambo mengi yanachanganya
1. hakuna version ya 3g/2g/4g mkataba na ms haumruhusu kutengeneza kifaa cha gsm hadi 2016 ingekuwa ni foxconn walicence jina nokia hii isingewahusu wangeeka gsm
2. ipo kwenye website official ya nokia

wengine wanasema ni reference design tu kwa oem atayetaka analipa nokia mauzo atajua mwenyewe oem.

ngoja tusubirie tutajua tu huko mbeleni

update
jamaa wa nokia twitter ameconfirm
The hardware was designed by Nokia, the software was written by Nokia, and it is manufactured and distributed by Foxconn

https://twitter.com/SirKneeland/status/534677706580185090
 
mkuu Chief-Mkwawa, samahani kwa kuingilia najuwa wewe ni mtaalam wa cm mbalimbali


naomba msaada wako wa sim aina ya itel 1400 uwezo wake wa ki intanet, kamera, ukubwa wake nk


Ahsante!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nisaidie kuhusu HTC disire HD A9191 IKO JE UWEZO WAKE IPI ZAIDI NA HUAWEI G510 TAFADHALI
 
mkuu Chief-Mkwawa, samahani kwa kuingilia najuwa wewe ni mtaalam wa cm mbalimbali


naomba msaada wako wa sim aina ya itel 1400 uwezo wake wa ki intanet, kamera, ukubwa wake nk


Ahsante!

kaka mimi huwa simshauri mtu anunue simu za mediatek kama hizo unless huna budi
 
Last edited by a moderator:
Kaka mkwawa naomba msaada wa kujua tofauti ya kioo cha samsung note 2 na samsung mega 5.8 naona kama vinautofauti wa uoneshaji
 
Kaka mkwawa naomba msaada wa kujua tofauti ya kioo cha samsung note 2 na samsung mega 5.8 naona kama vinautofauti wa uoneshaji

note 2 ilikuwa flagship hivyo ni likely kuwa na kioo kizuri kushinda mega.

-note 2 kioo chake ni hd wakati cha mega ni qhd hivyo kwenye resolution cha note 2 kina resolution kubwa
-note 2 kioo chake ni super amoled wakati cha mega ni Tft hivyo cha note 2 kinatumia material mazur
 
Asante mjomba mkwawa nimekuelewa sana tena sana mana ninazo mbili hii mega nikazani mchina ingawa nilinunulie bressuls kwenye agent wa samsung asante sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…