rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
Original ndo nini Mkuu?
Vp khs x6 unayo hyo ki2 ndugu?
Maana yangu brother ni kwa kiasi gani una-guarantee kwamba hizo products ni original from Nokia (hivi zile ambazo ni underlicenced nazo huwa kundi gani vle?). Sina nia mbaya. Mimi binafsi ni mtumiaji mkubwa wa Handsets za Nokia na kwa bahati zote zimetengenezwa Finland na nimezinunua kwa Dealers wao na nilipewa warranty mwaka mmoja mmoja. Najua hizo ni Used kama sikukuelewa vibaya, inge-sound vema kama ungetukaribisha kununua Nokia Ex-Romania/Mexico ambazo naamini ni bora tu kwani zimepitishwa kwenye standards za US na Europe.Siku, original ni kinyume na fake-sijui kama nimejieleza vizuri lakini kwa maelezo zaidi ya ingia kwenye kamusi ,ni neno la kiingereza,Asante:A S 103:.
Maana yangu brother ni kwa kiasi gani una-guarantee kwamba hizo products ni original from Nokia (hivi zile ambazo ni underlicenced nazo huwa kundi gani vle?). Sina nia mbaya. Mimi binafsi ni mtumiaji mkubwa wa Handsets za Nokia na kwa bahati zote zimetengenezwa Finland na nimezinunua kwa Dealers wao na nilipewa warranty mwaka mmoja mmoja. Najua hizo ni Used kama sikukuelewa vibaya, inge-sound vema kama ungetukaribisha kununua Nokia Ex-Romania/Mexico ambazo naamini ni bora tu kwani zimepitishwa kwenye standards za US na Europe.

THX.<br>Kwa maana hiyo kama ni mtumiaji mkubwa wa NOKIA si unajua kuna jinsi ya ku prove kama simu esp.ya NOKIA ni original au la?<br>GD.<br>