Nokia N97 & 5800xmusic FOR SALE

Nokia N97 & 5800xmusic FOR SALE

Mozzila

Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
14
Reaction score
0
It's for sale in a good condition kama unahitaji ni PM.ma PHONE NO.0756306963
 
Weka bei kabisa mkuu kabla hatujakupigia simu. Mbona watu mnakuwa wagumu kujifunza jinsi ya kupost matangazo humu. Aaaagrrr!
Ni kweli sijui ni makusudi au ndo kichwangumu ,ninavyojua unapouza kitu unatakiwa unaseme ni kitu gani,aina (model),kama ni kipya au kimetumika,kina tatizo au hakina,bei ,specs n.k,sometimes wanauzi sana hawa wasiotaja bei utafikiri ni siri za serikali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom