Nokia Lumia 520

gozo

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
458
Reaction score
86
Nauza simu aina ya Nokia Lumia520 ni mpya kabisa na imetumika week moja(1) tu ipo katika box ikiwa na protector,simu cover na kila kitu kuanzia charger,câble na earphone...bei ni 250,000/= tu na kwa mawasiliano zaidi nichek kupitia 0715 369096

NB:ile simu (Nokia Lumia520) katika tangazo langu la mwanzo ilishauzwa....


 

Attachments

  • Nokia-Lumia-520-front.png
    6.3 KB · Views: 201

ina facebook hii na JF?
 
hehehe. najua kwanini unauza lumia 520, izi c m bomu kbsa hamna chochote kbsa,bora mtu ununue galaxy star ni nzur zaidi ni 160,000/= mpyaaaaaaaaaaaa. then kuweni makini na cm za hapa jf. nasikia motherboard inakuwa original but anayefuatia hapo ni mchina, utafurahi. hii nimepata kwa wazee wa kariakoo mtaa wa agrey. yani wanachakachua alafu wanakuambia simu mpya hii. ushauri wangu nunua simu dukani usije kujuta.
nawakilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…