BANGO JEUPE JF-Expert Member Joined Nov 21, 2015 Posts 3,088 Reaction score 2,174 Nov 13, 2016 #1 Os: window 10 storage 8GB camera 5MP ::::::::::::::::::::::::::::::::::::::: Inakaa na chaji mda mrefu Haina tatzo lolote NIPO DAR KIGAMBONI Whattp/SMS/call: +255 718 295 182 Au +255 753 254 562 _______________________________ Bango
Os: window 10 storage 8GB camera 5MP ::::::::::::::::::::::::::::::::::::::: Inakaa na chaji mda mrefu Haina tatzo lolote NIPO DAR KIGAMBONI Whattp/SMS/call: +255 718 295 182 Au +255 753 254 562 _______________________________ Bango
BANGO JEUPE JF-Expert Member Joined Nov 21, 2015 Posts 3,088 Reaction score 2,174 Nov 14, 2016 Thread starter #2 Ukitaka kuiona ruhusa haina mkwaruzo wala tatizo.
Msherwa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 1,323 Reaction score 1,230 Nov 14, 2016 #3 BANGO JEUPE said: Ukitaka kuiona ruhusa haina mkwaruzo wala tatizo. Click to expand... najua kwa nini unaiuza, hata mie ninayo na ..... kama yako hivi hakunaga njia nyingine na mie yangu niitafutie mteja
BANGO JEUPE said: Ukitaka kuiona ruhusa haina mkwaruzo wala tatizo. Click to expand... najua kwa nini unaiuza, hata mie ninayo na ..... kama yako hivi hakunaga njia nyingine na mie yangu niitafutie mteja
Blackman JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 858 Reaction score 343 Nov 14, 2016 #4 Msherwa said: najua kwa nini unaiuza, hata mie ninayo na ..... kama yako hivi hakunaga njia nyingine na mie yangu niitafutie mteja Click to expand... Kunani Mkuu?
Msherwa said: najua kwa nini unaiuza, hata mie ninayo na ..... kama yako hivi hakunaga njia nyingine na mie yangu niitafutie mteja Click to expand... Kunani Mkuu?
Msherwa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 1,323 Reaction score 1,230 Nov 14, 2016 #5 Blackman said: Kunani Mkuu? Click to expand... Hapana haina tatizo hata whatsapp yake haifungiwi mwaka huu Wamesema watafunga desemba mwakani, yaani mwaka 2016 Haina tatizo mkuu teh teh teh SORRRRRYYYYYYYYYY mwenye duka!!
Blackman said: Kunani Mkuu? Click to expand... Hapana haina tatizo hata whatsapp yake haifungiwi mwaka huu Wamesema watafunga desemba mwakani, yaani mwaka 2016 Haina tatizo mkuu teh teh teh SORRRRRYYYYYYYYYY mwenye duka!!
BANGO JEUPE JF-Expert Member Joined Nov 21, 2015 Posts 3,088 Reaction score 2,174 Nov 14, 2016 Thread starter #6 Hiyo yako itakua feki mkuu ! Ukitaka kununua yangu unaruhusiwa kuikagua kama kuna shaka yoyote Bango
BANGO JEUPE JF-Expert Member Joined Nov 21, 2015 Posts 3,088 Reaction score 2,174 Nov 14, 2016 Thread starter #7 Msherwa said: najua kwa nini unaiuza, hata mie ninayo na ..... kama yako hivi hakunaga njia nyingine na mie yangu niitafutie mteja Click to expand... Haujui kitu bora uwe kimya! Bango
Msherwa said: najua kwa nini unaiuza, hata mie ninayo na ..... kama yako hivi hakunaga njia nyingine na mie yangu niitafutie mteja Click to expand... Haujui kitu bora uwe kimya! Bango