Nokia 808 pureview

Nokia 808 pureview

JEMEDARI .H.

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
341
Reaction score
63
Wakuu naomba mnifahamishe bei ya nokia 808 pureview kwa Dar inauzwaje?
 
Kuna shop nilikuta 920,000Tsh mkuu.

Ila kwa simu ya Feb 2012 tena yenye RAM ya 512 MB kuuzwa hii bei sio vizuri ata kidogo. Mie sikutaka ata kushuka nae, kwanza nilikua sina ata hela, wale wazee wa kuuliza na kusepa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom