Bepari la Kinyambo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,223
- 1,520
OkNitakupunguzia kidogo njoo pm
Nilitaka kusema hivi.350k ndio bei ya 5.1 plus mpya.
Ngoja wapigwe!!Nilitaka kusema hivi.
Bado kali kabisa.. ram 3, gb 32 storage, picha Kali mp 16 . exchange allowed Ila iwe Samsung na iPhone. Android 10 latest .
Location Dom. Bei 350kView attachment 1552998
Mkuu sina cha nyongeza simu Kwa simu, mzigo bado upo kinanda kabisaTubadilishane na iphone 7 then niongeze na Laki moja na Ishirini (120000)
Mkuu tunaandikishana ondoa Shaka kabsa. KaribuTuhakikishie kuwa hiyo simu sio ya wizi?.. maana unaweza kuingia chaka polisi wakalamba kichwa..simu inaibwa mwanza inaenda kuuzwa dodoma.. tracking system ya polisi ipo vyema siku hizi!
Poa poaJibu pm yako tumalize biashara
Hapana
NimekujibuMkuu jibu pm yako nahitaji hiyo simu
Mkuu nasikia siku hizi kuna maujanja mapya wakitrack hiyo IMEI wanaenda kukutana na nokia kitochi,sijui wanafanyaje hataTuhakikishie kuwa hiyo simu sio ya wizi?.. maana unaweza kuingia chaka polisi wakalamba kichwa..simu inaibwa mwanza inaenda kuuzwa dodoma.. tracking system ya polisi ipo vyema siku hizi!