NOKIA 2710c-2

ANTHONY KWEKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
956
Reaction score
380
SIMU YANGU inagoma kufanya kazi kila mara na kuandika herufi yenyewe hata nikipigiwa haikubali kupokea button zote zinagoma tatizo litakua nini?
Suluhisho lake
 
SIMU YANGU inagoma kufanya kazi kila mara na kuandika herufi yenyewe hata nikipigiwa haikubali kupokea button zote zinagoma tatizo litakua nini?
Suluhisho lake

usiwe na hofu sana mkuu.
Hiyo itakuwa tu imejam. Nenda kwa fundi mwenye Computer aifrash. Nadhani kwa simu yako ghalama ni 10,000. Hiyo haitakiwi kuifungua, ni kuifrash tu inakuwa safi kabisa kama mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…