Soma tangazoMboma tangazo limesena betri ni SAA 24 mkuu. Weka picha, customer care zero
tangazo kutoka Nokia sio kwakoSoma tangazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Una haraka sana inaonekana hutaki kuuza ,Nokia 2 for sale
5.00-inch touchscreen display with 720 x 1280 pixels resolution.
1.3 GHz quad-core Qualcomm Snapdragon 212 processor
1 GB of RAM and 8 GB of internal storage expandable up to 128 GB via a microSD card slot.
Android OS
Battery life: 12hours
STILLL NEW INAKUJA NA BOX LAKE + FULL ACCESORIES- Orriginal charger+Original Earphone
Price; tsh.200,000/=
Call/text/whatsapp 068934145
Sent using Jamii Forums mobile app
Member wa jf mnamajibu ya kiswahili sana...anyways 0689341445Una haraka sana inaonekana hutaki kuuza ,
Mbona namba ulizoweka hazijaenea
How stupid is thisMi nauza nokia 3.1 plus 32 gb, ram 3 camera 13mp, battery 24hrs, fully equiped bei 400k ina wiki mbili tu
Narudia tena how stupid ?...ngekua nauza gar kwenye yard yangu na wewe ukawauna gari yako unauza ungeletakwenye yard yangu?....HOW STUPIDTujaze thread za nn wakati bidhaa yako na yangu yofauti au umezoea kutukana!
Narudia tena how stupid ?...ngekua nauza gar kwenye yard yangu na wewe ukawauna gari yako unauza ungeletakwenye yard yangu?....HOW STUPID
Sent using Jamii Forums mobile app
acha wivu ... do you recognise SWOT in business? ...
You are wasting your time,hata untajie all form of market analysis my stand is still the...Kama yeye alichukua kigezo cha soko huria kuingia thread yangu na mimi nachukua the same freedom ku trash his move...Btw its morning Do somethng productive!acha wivu ... do you recognise SWOT in business? ...
retract .... next time usiwe hivi
Ni kweli kwamba sitaki kuiuza??? If that was the case ningeipost? Angetumia lugha kharimu ningemuelewa
Me sioni kama kuna tatizo kwa sababu umeandika namba zipo 9... Unadhani kama kuna wateja hata 10 wanahitaji hiyo simu, kuna hata mmoja ataweza kukupata?Ni kweli kwamba sitaki kuiuza??? If that was the case ningeipost? Angetumia lugha kharimu ningemuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
A serious client angeuliza au hata angeingia PM kuniomba namba hiyo ndo busara...Sio unaingia afu unaanza kusema et Huiuzi and all that....kama alikua mteja au hata mpita njia tu angeuliza kistaarabuMe sioni kama kuna tatizo kwa sababu umeandika namba zipo 9... Unadhani kama kuna wateja hata 10 wanahitaji hiyo simu, kuna hata mmoja ataweza kukupata?
Sent using Jamii Forums mobile app