Wakuu tecno svn:78 ya laini tatu inawaka wakati mwingine inazima nifanyeje nimejaribu kuipashapasha na mashine ila bado mda mwingine inasumbua nifanyeje wakuu?

nokia 1200 aka torch kwanza unatakiwa upime short circuit 2 safisha injini kwa mafuta mepesi nown as benzine hakikisha unatoa kutu zote zinazo onekana kwa macho na zisizo onekana kwa kutumia brush kama mswaki. Pakaza flax katika cpu na power ic. Kisha ipashe kwa mashine yako kufanya mafuta yapenye ndani ya hizo ic.baada ya kufanya hivyo jaribu kuiwasha simu kama ikigoma isome info ktk computer.