Loy MX JF-Expert Member Joined Mar 26, 2012 Posts 1,253 Reaction score 313 Jun 30, 2014 #1 wakuu mwenye gari aina hiyo tuwasiliane. kwa 8 Million
bucho JF-Expert Member Joined Jul 13, 2010 Posts 5,175 Reaction score 3,276 Jun 30, 2014 #2 Loy MX said: wakuu mwenye gari aina hiyo tuwasiliane. kwa 8 Million Click to expand... Mkuu upo maeneo gani? Dar ama mkoani?
Loy MX said: wakuu mwenye gari aina hiyo tuwasiliane. kwa 8 Million Click to expand... Mkuu upo maeneo gani? Dar ama mkoani?
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Jun 30, 2014 #3 CYBERTEQ kuja huku usaidie ndugu zangu ukimalaizana nae mwambie niko nauza VOXY kwa milioni kumi tu sipunguzi siongezi, nyeusi namba CTW Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
CYBERTEQ kuja huku usaidie ndugu zangu ukimalaizana nae mwambie niko nauza VOXY kwa milioni kumi tu sipunguzi siongezi, nyeusi namba CTW
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Jun 30, 2014 #4 Loy MX said: wakuu mwenye gari aina hiyo tuwasiliane. kwa 8 Million Click to expand... mkuu ongeza 2M uchukue voxy kwa mpwa wangu Elli , au unataka yabiashara? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loy MX said: wakuu mwenye gari aina hiyo tuwasiliane. kwa 8 Million Click to expand... mkuu ongeza 2M uchukue voxy kwa mpwa wangu Elli , au unataka yabiashara?
Loy MX JF-Expert Member Joined Mar 26, 2012 Posts 1,253 Reaction score 313 Jun 30, 2014 Thread starter #5 CYBERTEQ said: mkuu ongeza 2M uchukue voxy kwa mpwa wangu Elli , au unataka yabiashara? Click to expand... Nataka ya kazi father hayo ma Voxy hakuna kitu humo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
CYBERTEQ said: mkuu ongeza 2M uchukue voxy kwa mpwa wangu Elli , au unataka yabiashara? Click to expand... Nataka ya kazi father hayo ma Voxy hakuna kitu humo
Loy MX JF-Expert Member Joined Mar 26, 2012 Posts 1,253 Reaction score 313 Jun 30, 2014 Thread starter #6 bucho said: Mkuu upo maeneo gani? Dar ama mkoani? Click to expand... Niko dar hapa hapa