Noah inauzwa

Hakuna aliye salama chini ya jua,, uwe umepanda noah, ndege au meli au gar ya aina yoyote ile,, Ni Mungu tu ajuaye utakufaje

Siku hizi gari aina ya Noah imebatizwa jina na sasa inaitwa " the mobile mortuary ".
 
Oyaa chukua aliekupa offer ya 10m.
Yard kwenyewe unapata hadi 12.5m
Sasa hivi demand ya Noah inashuka maana hata wenye kufanya kama daladala imekuwa haiwalipi kihivyo kama hapo mwanzo
Ni ushauri tu
Oyaaa asante kwa ushaur mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…